Poseidoni
Mandhari
Poseidoni | |
---|---|
Sanamu ya Poseidoni | |
Mungu wa Bahari, Tetemeko na Farasi | |
Makao | Mlima Olimpos |
Alama | Tridenti, Samaki, Pomboo, Farasi, Fahali |
Mwenzi | Amfitrita |
Wazazi | Krono na Rea |
Ndugu | Hade, Demetra, Hestia, Hera na Zeu |
Watoto | Theseo, Tritoni, Polifemu |
Ulinganifu wa Kirumi | Neptunus |
Poseidoni (Kigiriki cha Kale: Ποσειδῶν, Poseidōn) ni mungu wa bahari, tetemeko na farasi katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Neptunus katika dini ya Roma ya Kale.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |