Nenda kwa yaliyomo

Sokwe Mtu wa Kawaida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Pan troglodytes)
Sokwe Mtu wa Kawaida
Sokwe Mtu wa Kawaida
Sokwe Mtu wa Kawaida
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Hominoidea (Masokwe)
Familia: Hominidae (Masokwe wakubwa)
Jenasi: Pan (Sokwe mtu)
Oken, 1816
Spishi: Pan troglodytes
(Blumenbach, 1775)
Ngazi za chini

Nususpishi 4:

Msambao wa sokwe mtu wa kawaida: 1. sokwe mtu magharibi, 2. sokwe mtu wa Nijeria, 3. sokwe mtu wa kati, 4. sokwe mtu mashariki.
Msambao wa sokwe mtu wa kawaida: 1. sokwe mtu magharibi, 2. sokwe mtu wa Nijeria, 3. sokwe mtu wa kati, 4. sokwe mtu mashariki.

Sokwe Mtu wa Kawaida (Pan troglodytes) ni jina la nyani wakubwa wa familia Hominidae wanaofanana sana na binadamu. Sokwe Mtu wa Kawaida wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Afrika.

Nususpishi

[hariri | hariri chanzo]