Pamoja Nawe
Mandhari
“Pamoja Nawe” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Soprano kutoka katika albamu ya Akikusimulia | |||||
Imetolewa | 12 Aprili 2008 | ||||
Imerekodiwa | 2008 | ||||
Aina | R&B - Bongo Flava | ||||
Urefu | 4:06 | ||||
Studio | Next Level Records | ||||
Mtunzi | Soprano | ||||
Mtayarishaji | Maneke | ||||
Mwenendo wa single za Soprano | |||||
|
Pamoja Nawe ni wimbo wa Soprano akimshirikisha D-Knob. Wimbo ulitolewa mnamo tarehe 12 Aprili ya mwaka wa 2008. Wimbo ulitayarishwa na kurekodiwa na studio ya Next Level Records, iliyochini ya matayarishaji Maneke. Wimbo unatoka katika albamu ya Akikusimulia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pamoja Nawe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |