Nenda kwa yaliyomo

Mto Ulinga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Ulinga ni kati ya mito ya mkoa wa Rukwa (Tanzania Magharibi). Maji yake yanafikia bahari ya Atlantiki kupitia ziwa Tanganyika na mto Kongo.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]