Nenda kwa yaliyomo

Monique Mujawamariya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Monique Mujawamariya

Mhe. Dk. Monique Mujawamariya (27 Julai 1955) ni mwanaharakati wa haki za binadamu wa Rwanda ambaye alihamia Kanada na kisha Afrika Kusini. Alinusurika katika mauaji ya halaiki ya Rwanda na alishinda tuzo ya kimataifa mwaka 1995.[1][2]

  1. Enlightened Post Wat Initiative ... role for NGOs, Carl Gershman, President, November 13, 2002, National Endowment for Democracy, Retrieved 1 March 2016
  2. Greenhouse, Steven (20 Aprili 1994). "One Rwandan's Escape: Days Hiding in a Ceiling, a Bribe and a Barricade". New York Times. Iliwekwa mnamo 1 Machi 2016.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Monique Mujawamariya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.