Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Makamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Mkoa wa Makamba katika Burundi

Mkoa wa Makamba ni moja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 500,000 mwaka 2007. Eneo lake ni la 1,960 km².

Mji mkuu ni Makamba.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]


Mikoa ya Burundi Bendera ya Burundi
BubanzaBujumbura MjiniBujumbura VijijiniBururiCankuzoCibitokeGitegaKaruziKayanzaKirundoMakambaMuramvyaMuyingaMwaroNgoziRumongeRutanaRuyigi
+/-
Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Makamba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.