Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Kivu Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Kivu Kusini
Sud-Kivu
Mahali paMkoa wa Kivu Kusini Sud-Kivu
Mahali paMkoa wa Kivu Kusini
Sud-Kivu
Mahali pa Mkoa wa Kivu Kusini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 02°30′S 28°52′E / 2.500°S 28.867°E / -2.500; 28.867
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wilaya 8
Mji mkuu Bukavu
Serikali
 - Gouverneur Célestin Cibalonza Byaterana
Eneo
 - Jumla 65,070 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 2,837,779

Mkoa wa Kivu ya Kusini ni mmoja kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Uko upande wa Mashariki wa nchi ukipakana na nchi ya Tanzania na Ziwa la Tanganyika. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,837,779.

Mji mkuu wake ni Bukavu.

Makabila na lugha

[hariri | hariri chanzo]

Wakazi wengi wa Mkoa wa Kivu Kusini ni wa kabila la Washi na lugha yao ya kwanza ni Kishi.

Lugha ya taifa inayozungumzwa katika sehemu hiyo ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo ni Kiswahili, hasa lahaja ya Kingwana.

Picha za Kivu Kusini

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kivu Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bandera Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu
+/-