Mjusi-kafiri vidole-vinene
Mandhari
Mjusi-kafiri vidole-vinene | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mjusi-kafiri vidole-vinene wa Turner (Chondrodactylus turneri)
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Spishi 63:
|
Mijusi-kafiri vidole-vinene ni mijusi wa jenasi Chondrodactylus, Elasmodactylus na Pachydactylus katika familia Gekkonidae. Vidole vya mijusi hawa ni vinene kiasi.
Mijusi hawa wana rangi ya majivu au kahawa mara nyingi pamoja na madoa, madoa-macho au mabaka meusi, meupe au njano.
Mijusi-kafiri vidole-vinene wanatokea Afrika ya Kusini hasa lakini spishi nyingine zinatokea mpaka Afrika ya Mashariki. Hukiakia usiku na hula wadudu na arithropodi wengine.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Chondrodactylus angulifer, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Afrika Kusini (South African ground gecko)
- Chondrodactylus bibronii, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Bibron (Bibron's thick-toed gecko)
- Chondrodactylus fitzsimonsi, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa FitzSimons (FitzSimons's thick-toed gecko)
- Chondrodactylus pulitzerae, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Pulitzer (Pulitzer's thick-toed gecko)
- Chondrodactylus turneri, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Turner (Turner's thick-toed gecko)
- Elasmodactylus tetensis, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Tete (Zambezi thick-toed gecko)
- Elasmodactylus tuberculosus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Sugu (Warty thick-toed gecko)
- Pachydactylus acuminatus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Pua-koa (Pointed-snout thick-toed gecko)
- Pachydactylus affinis, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Trnasvaal (Transvaal thick-toed gecko)
- Pachydactylus amoenus, Mjusi-kafiri Mabaka wa Namakwa (Namaqua banded gecko)
- Pachydactylus atorquatus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Augrabies (Augrabies gecko)
- Pachydactylus austeni, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Austen (Austen's thick-toed gecko)
- Pachydactylus barnardi, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Barnard (Barnard's thick-toed gecko)
- Pachydactylus bicolor, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Rangi-mbili (Two-coloured thick-toed gecko)
- Pachydactylus boehmei, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Böhme (Böhme's thick-toed gecko)
- Pachydactylus capensis, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Rasi (Cape thick-toed gecko)
- Pachydactylus caraculicus, Mjusi-kafiri Mabaka wa Angola (Angola banded thick-toed gecko)
- Pachydactylus carinatus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Richtersveld (Richtersveld gecko)
- Pachydactylus etultra, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Sossusvlei (Sossusvlei gecko)
- Pachydactylus fasciatus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Mabaka (Banded thick-toed gecko)
- Pachydactylus formosus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Karuu (Southern rough gecko)
- Pachydactylus gaiasensis, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Brandberg (Brandberg thick-toed gecko)
- Pachydactylus geitje, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Madoa-macho (Ocellated thick-toed gecko)
- Pachydactylus griffini, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Griffin (Griffin's thick-toed gecko)
- Pachydactylus haackei, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Haacke (Haacke's thick-toed gecko)
- Pachydactylus katanganus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Katanga (Katanga thick-toed gecko)
- Pachydactylus kladaroderma, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Ngozi-dhaifu (Thin-skinned thick-toed gecko)
- Pachydactylus kobosensis, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Kobos (Kobos thick-toed gecko)
- Pachydactylus labialis, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Calvinia (Calvinia thick-toed gecko)
- Pachydactylus laevigatus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Fischer (Fischer's thick-toed gecko)
- Pachydactylus latirostris, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Pua-pana (Quartz gecko)
- Pachydactylus macrolepis, Mjusi-kafiri Mabaka Magamba-makubwa (Large-scaled banded gecko)
- Pachydactylus maculatus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Madoadoa (Spotted thick-toed gecko)
- Pachydactylus maraisi, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Marais (Marais's thick-toed gecko)
- Pachydactylus mariquensis, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Ceres (Ceres thick-toed gecko)
- Pachydactylus mclachlani, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa MacLachlan (MacLachlan's thick-toed gecko)
- Pachydactylus monicae, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Monica (Monica's gecko)
- Pachydactylus montanus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Milima (Montane thick-toed gecko)
- Pachydactylus namaquensis, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Namakwa (Namaqua thick-toed gecko)
- Pachydactylus oculatus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Madoa-dhahabu (Golden spotted thick-toed gecko)
- Pachydactylus oreophilus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Kaokoland (Kaokoland rock gecko)
- Pachydactylus oshaughnessyi, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa O'Shaughnessy (O'Shaughnessy's thick-toed gecko)
- Pachydactylus otaviensis, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Mil. Otavi (Otavi Highlands thick-toed gecko)
- Pachydactylus parascutatus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Sesfontein (Sesfontein thick-toed gecko)
- Pachydactylus punctatus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Vidoadoa (Speckled thick-toed gecko)
- Pachydactylus purcelli, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Purcell (Purcell's gecko)
- Pachydactylus rangei, Mjusi-kafiri wa Jangwa Namib (Namib sand gecko)
- Pachydactylus reconditus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Windhoek (Windhoek thick-toed gecko)
- Pachydactylus robertsi, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Karasberg (Shielded thick-toed gecko)
- Pachydactylus rugosus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Ngozi-kwaruza (Common rough gecko)
- Pachydactylus sansteynae, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Pwani (Coastal thick-toed gecko)
- Pachydactylus scherzi, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Scherz (Scherz's thick-toed gecko)
- Pachydactylus scutatus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Magamba-mkubwa (Large-scaled gecko)
- Pachydactylus serval, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Mondo (Western spotted thick-toed gecko)
- Pachydactylus tigrinus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene Chui (Tiger thick-toed gecko)
- Pachydactylus tsodiloensis, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Tsodilo (Tsodilo thick-toed gecko)
- Pachydactylus vansoni, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Van Son (Van Son's thick-toed gecko)
- Pachydactylus vanzyli, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Jangwa Namib (Namib Desert gecko)
- Pachydactylus visseri, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Visser (Visser's thick-toed gecko)
- Pachydactylus waterbergensis, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Waterberg (Waterberg thick-toed gecko)
- Pachydactylus weberi, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Weber (Weber's thick-toed gecko)
- Pachydactylus werneri, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Werner (Werner's thick-toed gecko)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mjusi-kafiri vidole-vinene wa Afrika Kusini
-
Mjusi-kafiri vidole-vinene wa Bibron
-
Mjusi-kafiri vidole-vinene wa Augrabies
-
Mjusi-kafiri vidole-vinene madoa-macho
-
Mjusi-kafiri vidole-vinene ngozi-dhaifu
-
Mjusi-kafiri vidole-vinene wa Ceres
-
Mjusi-kafiri vidole-vinene wa O'Shaughnessy
-
Mjusi-kafiri vidole-vinene vidoadoa
-
Mjusi-kafiri wa Jangwa Namib
-
Mjusi-kafiri vidole-vinene wa Van Son
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Spawls, S., Howell, K., Drewes, R. & Ashe, J. (2002) A field guide to the Reptiles of East Africa. Academic Press, San Diego, CA, USA.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mjusi-kafiri vidole-vinene kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |