Nenda kwa yaliyomo

Maybelle Carter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

"Mother" Maybelle Carter (alizaliwa kama Maybelle Addington 10 Mei, 1909 – amefariki 23 Oktoba, 1978) alikuwa mwanamuziki wa muziki wa country kutoka Marekani na miongoni mwa wa kwanza kutumia mbinu ya *Carter scratch*.[1][2]

  1. Holly George-Warren, Laura Levine (2006). Honky-Tonk Heroes and Hillbilly Angels: The Pioneers of Country and Western Music, p.4.
  2. Olson, Ted. "Carter, Maybelle (1909–1978)". Encyclopedia Virginia. Iliwekwa mnamo Mei 4, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maybelle Carter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.