Maybach
Mandhari
Maybach ni chapa ya magari ya kifahari ya Ujerumani inayomilikiwa na Mercedes-Benz AG. Ilianzishwa mwaka 1909 na Wilhelm Maybach pamoja na mwanawe Karl Maybach, awali ikiwa tanzu ya Luftschiffbau Zeppelin GmbH na ikijulikana kama Luftfahrzeug-Motorenbau GmbH hadi mwaka 1999[1].
Tanbihii
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tschampa, Dorothee (11 Novemba 2014). "Mercedes Revives Maybach Name to Challenge Rolls-Royce". Bloomberg.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |