Nenda kwa yaliyomo

Matege

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Miguu ya mtoto wa miaka 2 mwenye ugonjwa huu inavyoonyeshwa na mionzi X.

Matege (kwa Kiingereza: rickets au rachitis) ni ugonjwa unaompata mtu au mnyama mwenye ukosefu wa vitamini D mwilini, hasa miezi ya kwanza ya maisha yake.

Mtu mwenye matege miguu yake hupinda.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matege kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.