Maksimiliani wa Lorch
Mandhari
Maksimiliani wa Lorch (pia hujulikana kama Maximilian wa Celeia, kwa Kilatini: Maximilianus; labda katika Slovenia ya leo, karne ya 3 – katika Austria ya leo, 12 Oktoba 288[1]) alikuwa askofu mmisionari wa eneo la Noriko katika Ulaya ya Kati (leo Austria, Slovenia na Bavaria) aliyepewa jina la "Mtume wa Noriko"[2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, pengine mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Oktoba[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Der heilige Maximilian, Bischof von Lorch". Iliwekwa mnamo 6 Februari 2006.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.heiligenlegenden.de/literatur/bavaria-sancta/erster-abschnitt/maximilian/home.html
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/91758
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |