Nenda kwa yaliyomo

Makamu wa Rais wa Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Makamu wa Rais wa Kenya ni afisa mtendaji wa pili juu zaidi katika serikali ya Kenya:

# Picha Jina Muda wa ofisi Chama cha siasa
1 Jaramogi Oginga Odinga

(1911–1994)

1964 1966 KANU
2 Joseph Murumbi

(1911–1990)

1966 1966 KANU
3 Daniel arap Moi

(1924–2020)

1967 1978 KANU
4 Mwai Kibaki

(1931–2022)

1978 1988 KANU
5 Josephat Karanja

(1931–1994)

1988 1989 KANU
6 George Saitoti

(1945–2012)

1989 1998 KANU
2002 1999
7 Musalia Mudavadi

(born 1960)

2002 2003 KANU
8 Michael Kijana Wamalwa

(1944–2003)

2003 2003[†] NARC
9 Moody Awori

(born 1928)

2003 2008 NARC / PNU
10 Kalonzo Musyoka

(born 1953)

2008 2013 ODM–K
11 William Ruto

(born 1966)

2013 2022 Jubilee
12 Geoffrey Rigathi Gachagua

(born 1965)

2022 2024 UDA
13 Abraham Kithure Kindiki

(born 1972)

2024 UDA

maana yake, amefariki madarakani

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]