Nenda kwa yaliyomo

Mahlet Afework

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mahlet Afework ni mbunifu wa mitindo wa Ethiopia na mjasiriamali . [1] [2]

Miaka ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Afework alitakiwa kusomea uuguzi kwa miaka miwili. Hivo katikati ya masomo yake, aliacha kusoma mitindo. [3]

Afework alianza kazi yake akiwa na umri wa miaka 16 kama mwanamitindo na mwanamuziki. Akiwa katika darasa la 9, alipendezwa na muziki wa rap na akatoa wimbo unaoitwa Shalom Africa.

  1. daughtersofafricablog (2019-01-22). "Ethiopian Fashion Designer Mahlet Afework "Mafi"". Daughters Of Africa (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-12-31.
  2. Kowalczyk, Pete (2015-10-21). "Africa Fashion week: The little town rocking the catwalk". CNN Style (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-12-31.
  3. Africa, Forbes Woman (2015-04-01). "Singer. Seamstress. Survivor". Forbes Africa (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-12-31.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahlet Afework kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.