Nenda kwa yaliyomo

Luxor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ndani ya Hekalu kubwa la Luxor.

Luxor (kwa Kiarabu: الأقصر al-uksur) ni mji katika Misri ya Kusini. Mnamo mwaka wa 2012, karibu watu 506,588 waliishi huko. [1] Inatembelewa na watalii wengi sana kutoka kote duniani sababu ya mahekalu ya Luxor na Karnak.

Luxor imejengwa juu ya sehemu ndogo ya Thebes iliyokuwa mmoja wa miji mikubwa ya Misri ya Kale na mara kadhaa mji mkuu wa nchi. [2]

Upande wa pili wa Mto Nile, unaotazama Luxor, kuna Bonde la Wafalme na Hekalu la Hatshepsut kwenye eneo linaloitwa Deir Bahri.

Picha za Luxor

[hariri | hariri chanzo]
  1. "World Gazetteer - Egypt: largest cities and towns and statistics of their population". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-12-10. Iliwekwa mnamo 2021-03-13. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://archive.today/20121210181859/http://www.world-gazetteer.com/wg.php?x= ignored (help) (retrieved 2010-7-27)
  2. "Luxor, Egypt". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-04-19. Iliwekwa mnamo 2021-03-13. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)

Tovuti nyingine

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Luxor kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.