Nenda kwa yaliyomo

Love, Peace & Nappiness

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Love, Peace & Nappiness
Love, Peace & Nappiness Cover
Studio album ya Lost Boyz
Imetolewa 17 Juni 1997
Imerekodiwa 1996-1997
Aina Hip hop
Urefu 68:45
Lebo Uptown
Mtayarishaji Bink Dawg
Charles Suitt
Tim Dawg
Terence Dudley (USA)
Ron G
Mr. Sexxx
Ike Lee III Phatoons Inc.
Easy Mo Bee
Glenn S.O.N. Faide
DJ Rob Alphonse
Pito Jones
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Lost Boyz
Legal Drug Money
(1996)
Love, Peace & Nappiness
(1997)
LB IV Life
(1999)


Love, Peace & Nappiness ni jina la kutaja albamu ya pili kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini Queens, New York - Lost Boyz. Albamu hii haijakubalika sana kama jinsi ilivyokulika ile albamu yao ya kwanza, Legal Drug Money, lakini bado iliweza kuuza nakala zaidi ya 500,000. "Me & My Crazy World" kilikuwa kibao mahiri kwenye chati za Billboard Hot 100 mnamo mwaka wa 1997.

Albamu ilitunukiwa Dhahabu na RIAA mnamo tar. 17 Septemba 1997.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
# Jina Watayarishaji Waimbaji
1 "Intro" Bink Dawg, Charles Suitt *Interlude*
2 "Summer Time" Tim Dawg, Terence Dudley (USA) Mr. Cheeks, Freaky Tah
3 "Me & My Crazy World" Ron G Mr. Cheeks, Freaky Tah
4 "Beasts From The East" Bink Dawg Mr. Cheeks, A+, Redman, Canibus
5 "Love, Peace & Nappiness" Mr. Sexxx Mr. Cheeks, Freaky Tah, King Keiwanee, Da Blak Pharaoh
6 "Black Hoodies [Interlude]" Charles Suitt *Interlude*
7 "So Love" Ike Lee III Phatoons Inc. Mr. Cheeks
8 "My Crew" Easy Mo Bee Mr. Cheeks, A+, Canibus
9 "What's Wrong" Tim Dawg, Terence Dudley (USA) Mr. Cheeks, Freaky Tah
10 "Certain Things We Do" Ron G Mr. Cheeks, Freaky Tah
11 "Games" Mr. Sexxx Mr. Cheeks, Lovebug Starski
12 "Get Your Hustle On" Glenn S.O.N. Faide, DJ Rob Alphonse, Pito Jones Freaky Tah
13 "Tight Situations" Bink Dawg Mr. Cheeks, Freaky Tah, Queens Most Wanted
14 "Day 1" Bink Dawg Mr. Cheeks, Freaky Tah
15 "Why" Glenn S.O.N. Faide, Charles Suitt Mr. Cheeks, Freaky Tah
16 "From My Family To Yours [Dedication]" Bink Dawg Mr. Cheeks, Freaky Tah, Queens Most Wanted

Nasai za Chati za Albamu

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Albamu Chati
Billboard 200 Top R&B/Hip Hop Albums
1997 Love, Peace & Nappiness #9 #2

Nafasi za Chati za Single

[hariri | hariri chanzo]
Year Song Chart positions
Billboard Hot 100 Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks Hot Rap Singles Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales
1997 Me & My Crazy World #52 #23 #5 #17