Kiran Badloe
Mandhari
Kiran Badloe (alizaliwa 13 Septemba 1994) ni mwanamichezo wa majini wa Uholanzi.
Alishinda medali ya dhahabu katika mashindano ya wanaume ya dunia ya 2019 RS:X na mashindano ya dunia ya 2020 RS:X.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-28. Iliwekwa mnamo 2021-11-29.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-25. Iliwekwa mnamo 2021-11-29.