Kipwe
Mandhari
Kipwe | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kipwe kiuno-cheupe
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Vipwe au gongo futa ni ndege wa jenasi Dryoscopus katika familia Malaconotidae. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara tu. Ndege hawa ni weusi kwa utosi, mgongo na mabawa na weupe chini na kwa kiuno. Domo lao ni jembamba kwa kulinganishwa na spishi nyingine za familia hii. Hula wadudu na invertebrata wengine. Hulijenga tago lao kwa umbo wa kikombe mtini au kichakani na jike huyataga mayai 2-3.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Dryoscopus angolensis, Kipwe Miguu-pinki (Pink-footed Puffback)
- Dryoscopus cubla, Kipwe Kiuno-cheupe (Black-backed Puffback)
- Dryoscopus c. affinis, Kipwe wa Unguja (Zanzibar Puffback)
- Dryoscopus gambensis, Kipwe wa Gambia (Northern Puffback)
- Dryoscopus pringlii, Kipwe Michirizi-myeupe (Pringle's Puffback)
- Dryoscopus sabini, Kipwe Domo-nene (Sabine's au Large-billed Puffback)
- Dryoscopus senegalensis, Kipwe Macho-mekundu (Red-eyed Puffback)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kipwe wa Gambia
-
Kipwe domo-nene