Kinunggubuyu
Mandhari
Kinunggubuyu ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wanunggubuyu katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kinunggubuyu ilihesabiwa kuwa watu 110 tu, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinunggubuyu kiko katika kundi la Kiarnhem cha Mashariki pamoja na Kingandi na Kianindilyakwa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinunggubuyu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinunggubuyu
- lugha ya Kinunggubuyu katika Glottolog
- lugha ya Kinunggubuyu katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinunggubuyu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |