Kingulu
Mandhari
Kingulu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wangulu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kingulu imehesabiwa kuwa watu 132,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingulu iko katika kundi la G30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kingulu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingulu Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kingulu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ngp
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Beidelman, Thomas. 1964. Some Ngulu tales. Tanganyika notes and records, 63, uk.165-196.
- Ntemo, F. D. 1956. Some notes on Ngulu. Tanganyika notes and records, 45, uk.15-19.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |