Kinganyaywana
Mandhari
Kinganyaywana ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanganyaywana katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kinganyaywana ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinganyaywana kiko katika kundi la Kidyangadi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinganyaywana kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinganyaywana Archived 17 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kinganyaywana katika Glottolog
- lugha ya Kinganyaywana katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinganyaywana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |