Kidagaare-Kusini
Mandhari
Kidagaare-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wadagaare. Lugha hiyo ni tofauti na Kidagaare-Kaskazini nchini Burkina Faso. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kidagaare-Kusini imehesabiwa kuwa watu 700,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidagaare-Kusini iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidagaare-Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidagaare-Kusini Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidagaare-Kusini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dga
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidagaare-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |