Kichuwabu
Mandhari
Kichuwabu ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wachuwabu. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kichuwabu imehesabiwa kuwa watu 947,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kichuwabu iko katika kundi la P30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kichuwabu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichuwabu Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kichuwabu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/chw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichuwabu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |