Kichuuk
Mandhari
Kichuuk ni lugha ya Kiaustronesia nchini Mikronesia inayozungumzwa na Wachuuk. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kichuuk imehesabiwa kuwa watu 45,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichuuk iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kichuuk kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichuuk Ilihifadhiwa 17 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kichuuk katika Glottolog
- lugha ya Kichuuk kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichuuk kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |