Kapasita
Mandhari
Kapasita (kutoka Kiingereza: "capacitor") ni kifaa kinachotumika kutunza chaji ya umeme kwa muda mrefu kuliko betri.
Ilibuniwa na Mjerumani Ewald Georg von Kleist mnamo Oktoba 1745[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Williams, Henry Smith. "A History of Science Volume II, Part VI: The Leyden Jar Discovered". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-24. Iliwekwa mnamo 2013-03-17.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- The First Condenser – A Beer Glass – SparkMuseum
- How Capacitors Work – Howstuffworks
- Introduction to Capacitors – CapSite
- Capacitor Tutorial Archived 6 Novemba 2019 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |