Julius Axelrod
Mandhari
Julius Axelrod (30 Mei 1912 – 29 Desemba 2004) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza neva. Mwaka wa 1970, pamoja na Bernard Katz na Ulf von Euler alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Julius Axelrod kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |