Jinja
Mandhari
Jinja ni mji wa pili katika Uganda. Iko kando ya chanzo cha Nile inapotoka katika ziwa Viktoria Nyanza takriban katikati ya Kampala na mpaka wa Kenya kwa umbali wa km 90 mashariki kwa Kampala.
Jinja ni mji wa viwanda. Kuna wakazi 106,000.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jinja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |