Japan International Cooperation Agency
Mandhari
Japan International Cooperation Agency ni taasisi ya serikali ya Japani ambayo hutoa misaada ya kimaendeleo kwa nchi zinazoendelea.[1]
Imeongozwa na profesa Shinichi Kitaoka, rais wa zamani wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Japani, tangu mwaka 2015.
Tangu kuanzishwa tarehe 1 Oktoba 2008, JICA imekuwa moja ya taasisi kubwa zinazotoa misaada duniani, ikiwa na ofisi 97 za ng'ambo, miradi katika nchi zaidi ya 150, na rasilimali fedha ya yen takriban trilioni 1 ($ bilioni 8.5).
"Sisi, tukiwa kama daraja kati ya watu wa Japani na nchi zinazoendelea, tutaendeleza ushirikiano wa kimataifa kupitia kupeana maarifa na uzoefu na tutafanya kazi kujenga ulimwengu mwenye amani na mafanikio zaidi."
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (in English) tovuti rasmi ya JICA kwa Kiingereza
- (in Japanese) Tovuti rasmi ya JICA kwa Kijapani
- Wizara ya Mambo ya nje ya Japani ODA