Goliath Artists
Mandhari
Aina | Kampuni binafsi |
---|---|
Watu wakuu | Paul Rosenberg (mkurugenzi) |
Goliath Artists ni kampuni ya kusimamia wasanii na studio ya kurekodi muziki kutoka nchini Marekani. Ilianzishwa na rais na mwanzilishi mwenza wa Shady Records, Paul Rosenberg. Goliath Artist ina ofisi zake katika jiji la New York na Detroit, Michigan.
Usimamizi
[hariri | hariri chanzo]Wasanii wa sasa
[hariri | hariri chanzo]Jina | Mwaka aliosainiwa |
Studio |
---|---|---|
Eminem | 1999 | Shady · Aftermath · Interscope |
Danny Brown[1] | 2013 | Warp |
Wasanii wa zamani
[hariri | hariri chanzo]- Action Bronson[2]
- The Alchemist
- Blink-182
- Cypress Hill
- D12
- DJ AM
- DJ Muggs
- The Knux
- Spark Master Tape[3]
- TRV$DJAM
- Xzibit
Goliath Records
[hariri | hariri chanzo]Goliath Records | |
---|---|
Shina la studio | Universal Music Group |
Imeanzishwa | 2020 |
Mwanzilishi | Paul Rosenberg |
Usambazaji wa studio | Interscope Records |
Aina za muziki | |
Nchi | Marekani |
Mahala | New York Detroit, Michigan |
Historia
[hariri | hariri chanzo]Mnamo Februari 21, 2020 iliripotiwa kuwa Paul Rosenberg amejiuzulu kama mkurugenzi mtendaji wa Def Jam Recordings ili kutumia muda wake kuendesha Shady Records, Goliath Artists, na mradi wake mpya wa Goliath Records.[4] Mwaka uliofuata alitangaza msanii wake wa kwanza kwenye lebo ya Goliath Records, rapa kutoka Indiana, Vince Ash na alitoa toleo lake la kisasa la VITO kupitia Interscope.[5]
Wasanii wa sasa
[hariri | hariri chanzo]Jina | Mwaka aliosainiwa |
Matoleo chininya lebo |
---|---|---|
Vince Ash | 2021 | 1 |
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Danny Brown Signs Management Deal With Goliath Artists". XXL. Machi 23, 2013.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Action Bronson Joins Goliath Artists Management Home To Eminem". XXL. Agosti 23, 2012.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Meet Spark Master Tape, rap's hottest mystery man". Daily Dot. Aprili 25, 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Jem Aswad, Jem Aswad (2020-02-21). "Paul Rosenberg Stepping Down as Head of Def Jam". Variety (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-08-05.
- ↑ "Paul Rosenberg Signs Rapper Vince Ash To Goliath Records". HipHopDX. Aprili 17, 2021.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Goliath Artists kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |