Nenda kwa yaliyomo

Ghazaouet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ghazaouet ni mji na manispaa katika wilaya ya Tlemcen, kaskazini magharibi mwa Algeria. Hapo zamani uliitwa Nemours. Hujulikana sana kwa samaki wake safi

Kulingana na sensa ya mwaka 2008 mji huo una idadi ya watu 33,774[1]. Makadirio ya idadi ya watu inasemekana kuwa karibu elfu 40 na nakuendelea.[onesha uthibitisho]

Mchekeshaji maarufu wa Algeria Abdelkader Secteur ni mkazi wa mji huo.

  1. "Communes of Algeria". Statoids. Iliwekwa mnamo Desemba 12, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ghazaouet kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.