Felipe Arizmendi Esquivel
Mandhari
Felipe Arizmendi Esquivel (alizaliwa 1 Mei 1940) ni kiongozi wa kidini kutoka Mexico katika Kanisa Katoliki ambaye alihudumu kama askofu wa Jimbo la San Cristóbal de las Casas kuanzia 2000 hadi 2015. Kuanzia 1991 hadi 2000 alikuwa Askofu wa Tapachula.
Papa Fransisko alimtangaza kuwa kardinali tarehe 28 Novemba 2020.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la LXXXIII. 1991. uk. 245. Iliwekwa mnamo 25 Oktoba 2020.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |