Dastakert
Mandhari
Dastakert (Kiarmenia: Դաստակերտ) ni mji uliopo mkoani Syunik (marz) huko nchini Armenia. Dastakert umekuwa mji tangu 1951. Mji upo kwenye maeneo ya mlima Airy, kwenye shina la mto Dastakert.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dastakert kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |