Nenda kwa yaliyomo

D. C. Boonzaier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Daniël Cornelis Boonzaier (11 Novemba 186520 Machi 1950), analijulikana zaidi kama DC Boonzaier, alikuwa mchoraji katuni wa nchini Afrika Kusini. [1] Alikuwa maarufu kwa vibonzo vyake vya wanasiasa na watu mashuhuri wa Cape , alitumia sanaa yake ya uchoraji katuni kupinga ubepari na ubeberu.

  1. Schoonraad, Murray; Schoonraad, Elzabé (1989). Companion to South African Cartoonists. Johannesburg: AD Donker. ku. 64–72.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu D. C. Boonzaier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.