Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha York

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
nembo ya chuo
Chuo Kikuu cha York
Staff3,082
Wanafunzi13,270
Wanafunzi wa
shahada ya kwanza
9,105
Wanafunzi wa
uzamili
4,165
Mahali{{{mji}}}
SportsBUSA

Chuo Kikuu cha York ni chuo kikuu cha mji wa York katika Uingereza. Chuo hiki kilianzishwa mwaka 1963. Kuna zaidi ya idara 30 zinazofundisha fani nyingi. York ni maarufu hasa kwa utafiti wa kisayansi katika utathmini wa mwaka 2008 chuo hiki kiltajwa kuwa na nafasi ya 6 kati ya taasisi za uchunguzi wa kisayansi katika Ufalme wa Maungano.[1]

J. B. Morrell Library ni maktaba kuu ya Chuo Kikuu cha York
  1. "Top 20 for Research". The Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-19. Iliwekwa mnamo 2008-07-24.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha York kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.