Chetezo
Mandhari
Chetezo (kwa Kiingereza thurible) ni kifaa kinachotumika kufukizia matakatifu kwa kupakaza moshi wa ubani hasa wakati wa ibada.
Desturi hiyo ya Israeli imeenea katika Ukristo na madhehebu yake mengi, ingawa si yote[1].
Nje ya dini, chetezo kinatumika pengine katika ushirikina na mikutano ya Wamasoni n.k.[2][3]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Herrera, Matthew D. Holy Smoke: The Use of Incense in the Catholic Church. San Luis Obispo: Tixlini Scriptorium, 2011. http://www.scribd.com/doc/170397802
- ↑ Michno, Dennis G. (1998). "The Holy Eucharist-Concerning the Use of Incense at the Eucharist". A Priest's Handbook - The Ceremonies of the Church. Harrisburg, PA: Moorehouse Publishing. ISBN 0-8192-1768-9.
- ↑ Crowley, Aleister (1997). "Chapter XVI: The Magick Fire; With Considerations of the Thurible, the Charcoal, and the Incense". Magick. York Beach, ME: Samuel Weiser. ISBN 0-87728-919-0.
{{cite book}}
: Cite has empty unknown parameter:|coauthors=
(help); External link in
(help); Unknown parameter|chapterurl=
|chapterurl=
ignored (|chapter-url=
suggested) (help)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Holy Smoke: The Use of Incense in the Catholic Church. Archived 9 Oktoba 2016 at the Wayback Machine.
- Dodd, Robert (21 Februari 2009). "Role of the Thurifer". Saint Matthew's Cathedral. Dallas, Texas: Cathedral Church of Saint Matthew. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-23. Iliwekwa mnamo 23 Septemba 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Images of the Thurible used during Mass at All Saints' Church, King's Lynn Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- About Censing rubrics, Orthodox Church in America
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chetezo kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |