Nenda kwa yaliyomo

Cardinal de Soubise

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

François-Armand-Auguste de Rohan-Soubise, Prince wa Tournon, Prince wa Rohan (1 Desemba 1717, Paris28 Juni 1756, Saverne) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki la Ufaransa na Askofu Prince wa Strasbourg.

Wazazi wake, Anne Julie de Melun na Jules, Prince de Soubise, walifariki kutokana na homa ya ndigi wakati yeye akiwa mtoto.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.