Nenda kwa yaliyomo

Boumedfaâ

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mandhari ya Boumedfaa.

Boumedfaa (بومدفع) ni mji ulio kaskazini mwa nchi ya Algeria.[1] Enzi za Dola la Roma, hapo ndipo ulipokuwepo mji wa kale uitwao Flumenzer, katika jimbo la Kiroma la Mauritania Caesariensis.

Wakati wa utawala wa Wavandali, askofu wa mji huo, Paolo, alipelekwa uhamishoni mnamo mwaka 484 B.K, na mfalme Huneriki.

Mnamo mwaka 2021, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa takribani watu 28 500.

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Boumedfaâ kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.