Bocholt
Mandhari
Bocholt | |
Mahali pa katika Ujerumani |
|
Majiranukta: 51°50′00″N 06°37′00″E / 51.83333°N 6.61667°E | |
Nchi | Ujerumani |
---|---|
Jimbo | Rhine Kaskazini - Westfalia |
Idadi ya wakazi (2009) | |
- Wakazi kwa ujumla | 73,279 |
Tovuti: http://www.bocholt.de/ |
Bocholt ni manispaa ilipo mjini kaskazini-magharibi mwa jimbo la Rhine Kaskazini - Westfalia, Ujerumani, katika moja kati ya sehemu y wilaya ya Borken. Mji upo 4 km kusini mwa mpaka wa nchi ya Uholanzi. Takriban watu 73,640 wanaishi huko (sensa ya 2006).
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Official site (Kijerumani)
- Map of Bocholt Ilihifadhiwa 14 Juni 2004 kwenye Wayback Machine. (Kijerumani)
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bocholt kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |