Nenda kwa yaliyomo

Benki ya ABC

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Benki ya ABC
Makao MakuuGaborone, Botswana

Benki ya ABC (BancABC) inayojulikana kwa jina rasmi kama ABC Holdings Limited, ni mtoa huduma wa kifedha wa Afrika, makao makuu yakiwa Gaborone, Botswana.[1]

Ni mtoa huduma wa kifedha katika Afrika ya Kusini na Afrika ya Mashariki. Mnamo Desemba 2015, rasilimali za kikundi za benki zilikuwa na thamani ya dola za Kimarekani $1,810,000,000, na usawa wa wanahisa thamani ya Marekani $115,750,000.[2] BancABC ina matawi katika nchi kama Botswana, Mozambique, Tanzania, Zambia, na Zimbabwe.[3] ikiwa na mipango ya kuongeza nchi kama Angola, South Sudan, and Uganda.[4]

  1. ABCHL, . "ABC Holdings Limited Company Profile" (PDF). ABC Holdings Limited (ABCHL). Iliwekwa mnamo 11 Desemba 2014. {{cite web}}: |first= has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. BancABC (15 Aprili 2016). "31 December 2015 Annual Report & Audited Financial Statement". BancABC Group. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2014. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); Unknown parameter |= ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Zimbabwe Independent (28 Machi 2013). "BancABC Profits Up". Zimbabwe Independent. Iliwekwa mnamo 11 Desemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Financial Gazette Reporter, . (30 Machi 2012). "Zimbabwe: BancABC Targets Angola, Uganda, South Sudan". The Financial Gazette (Harare) via AllAfrica.com. Iliwekwa mnamo 11 Desemba 2014. {{cite web}}: |first= has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya ABC kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.