BASIC
BASIC | |
---|---|
Shina la studio | namna : namna ya utaratibu inaozingatiwa kuhusu kipengee |
Imeanzishwa | Mei 1 1964 |
Mwanzilishi | John George Kemeny |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: ALGOL 60, FORTRAN II na JOSS
Ilivuta: COMAL, Visual Basic, VisualBasic.NET, GRASS, AutoIt, AutoHotkey na batari Basic |
Mahala | Microsoft BASIC |
Tovuti | https://smallbasic-publicwebsite.azurewebsites.net/ |
BASIC ni lugha ya programu. Iliundwa na John George Kemeny na ilianzishwa tarehe 1 Mei 1964. Iliundwa ili kuumba programu. Leo tunatumia Mono BASIC. Ilivutwa na FORTRAN.
Inaitwa BASIC kwa sababu ni kifupi cha "Beginners' All-purpose Symbolic Instruction Code".
Historia
[hariri | hariri chanzo]Ilianzishwa 1 Mei 1964 nchini Marekani. Lakini John George Kemeny alianza kufanya kazi kuhusu BASIC mwaka wa 1960.
Falsafa
[hariri | hariri chanzo]Namna ya BASIC ni namna ya utaratibu na inaozingatiwa kuhusu kipengee.
Sintaksia
[hariri | hariri chanzo]Sintaksia ya BASIC ni rahisi sana, kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, COBOL au C sharp. Ilivutwa na sintaksia ya FORTRAN, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya BASIC
[hariri | hariri chanzo]Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
10 PRINT "Jambo ulimwengu !"
20 END
Programu kwa kupata factoria ya namba moja.
INPUT "INGIA NAMBA MOJA:", N
F = 1
FOR I = 1 TO N
F = F * I
NEXT I
PRINT "FACTORIA NI", F
END
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Sammet, Jean E. (1969). Programming languages: history and fundamentals. Englewood Cliffs, N.J.: Prentice-Hall. OCLC 819683527.
- Lien, David A. (1986). The Basic Handbook: Encyclopedia of the BASIC Computer Language (3rd ed.). Compusoft Publishing. ISBN 9780932760333. OCLC 12548310.
- Kemeny, John G.; Kurtz, Thomas E. (1985). Back To BASIC: The History, Corruption, and Future of the Language. Addison-Wesley. p. 141. ISBN 9780201134339. OCLC 11399298.