Nenda kwa yaliyomo

Aparan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moja ya sehemu ya mjini hapa.

Aparan (kwa Kiarmenia: Ապարան, pia unajulikana kama Abaran; mpaka 1935, Bash Aparan; zamani uliitwa, Aparanbol, Aparan Verin, Aparanpol, Abaran Verin, P’araznavert, K’asakh, Kasagh, na K’asagh) ni mji uliopo nchini Armenia, uliopo mkoani Aragatsotn, takriban kilomita 50 kutoka kaskazini-magharibi mwa mji wa Yerevan. Mji huu umechanganya wakazi, yaani, kuna Waarmenia na Wakurdi, na idadi ya wakazi 5,711 kwa sensa ya mwaka wa 2001.[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Kiesling, Brady. Rediscovering Armenia Guidebook. Tigran Mets: 2001.
Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aparan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.