Nenda kwa yaliyomo

Antonio Casale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antonio Casale
Casale kama Bill Carson katika filamu ya The Good, the Bad and the Ugly ya mwaka 1966.
Casale kama Bill Carson katika filamu ya The Good, the Bad and the Ugly ya mwaka 1966.
Jina la kuzaliwa Antonio Casale
Kazi yake Mwigizaji

Antonio Casale (Acceglio, 17 Mei 1932 – Civita Castellana, 4 Februari 2017) alikuwa mwigizaji wa filamu wa Italia kwa miaka ya 1960 na 1970, ambaye pia alionekana zaidi katika filamu za western ya Italia, maarufu kama Spaghetti Western kati ya mwaka 1965 na 1976.

Taratibu jina la Antonio lilikuja kuwa kubwa, Antonio Casale, anajulikana karibu dunia nzima kwa mwonekano wake wa mtindo wa jicho moja kama anavyoonekana kama anataka kufa hapo pembeni akiwa na Eli Wallach katika filamu ya The Good, the Bad and the Ugly ya mwaka 1966, ni filamu ilioongozwa na Sergio Leone, Antonio alitumia jina la Bill Carson, ni filamu ambayo pia iliwahi kuchaguliwa kuwa filamu bora kwa miaka yote.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonio Casale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.