All Lives Matter
Mandhari
All Lives Matter ni kauli mbiu inayolenga ukosoaji wa vuguvugu la Black Lives Matter[1][2][3].
Kauli mbiu ya All Lives Matter kwa kawaida huhusishwa na maoni ya kihafidhina, na kukataliwa kwa mawazo yanayoungwa mkono na wafuasi wa vuguvugu la Black Lives Matter, ambalo liliibuka kujibu ukatili wa polisi na vurugu za Kikabila[4].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ German Lopez (2016-07-11). "Why you should stop saying "all lives matter," explained in 9 different ways". Vox (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-16.
- ↑ "Obama Explains The Problem With 'All Lives Matter'" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-04-16.
- ↑ George Yancy, Judith Butler (2015-01-12). "What's Wrong With 'All Lives Matter'?". Opinionator (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-04-16.
- ↑ Edgar, Amanda Nell (2018). The struggle over Black Lives Matter and All Lives Matter. Andre E. Johnson. Lanham, Maryland. ISBN 978-1-4985-7205-7. OCLC 1048967782.
{{cite book}}
: CS1 maint: location missing publisher (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |