Adolf Otto Reinhold Windaus
Mandhari
(Elekezwa kutoka Adolf Windaus)
Adolf Windaus (25 Desemba 1876 – 9 Juni 1959) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza dutu zinazofanya kazi kibiolojia, kama vitamini. Mwaka wa 1928 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adolf Otto Reinhold Windaus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |