ABBA
ABBA | |
---|---|
ABBA mnamo 1974, kutoka kushoto kwenda kulia ni: Benny Andersson, Anni-Frid Lyngstad (Frida), Agnetha Fältskog, na Björn Ulvaeus | |
Taarifa za awali | |
Pia anajulikana kama | Björn & Benny, Agnetha & Anni-Frid |
Chimbuko | Stockholm, Sweden |
Miaka ya kazi | 1972–1982 |
Studio | Metal, Polydor, Atlantic, Universal, Epic, Vogue, RCA, PolyGram, Sunshine (Rhodesia/Zimbabwe), Ariston/Dig It (Italy) |
Agnetha Fältskog Björn Ulvaeus Benny Andersson Anni-Frid "Frida" Lyngstad |
ABBA lilikuwa kundi la muziki wa aina ya pop kutoka nchini Uswidi, ambao waliwika sana kunako miaka ya 1970 na 1980. Jina la "ABBA" lilitokana na kila herufi ya kwanza ya jina la mwanakundi:
- Agnetha Fältskog
- Björn Ulvaeus
- Benny Andersson, na
- Anni-Frid Lyngstad.
ABBA walikuja kuwa maarufu sana baada ya kushinda mwaka 1974 katika mashindano ya kutafuta nyimbo bora za nchi za Ulaya (Eurovision Song Contest). Walikuwa na vibao vingi tu malidhawa. Vibao kama vile "Dancing Queen", "SOS", "Mamma Mia", na "Waterloo". Karibuni nyimbo zao zote zilikuwa zikitungwa na Ulvaeus na Andersson.
Kundi lilikuwa kuvunjika mnamo mwaka wa 1982, lakini bado vibao viliendelea kuwa maarufu. Nyimbo moja ya ABBA ilibahatika kuonekana katika baadhi ya filamu (ikiwemo filamu ya Kiaustralia-The Adventures of Priscilla, Queen of the Desert na Muriel's Wedding.
Filam, video
[hariri | hariri chanzo]- 1977 – ABBA – The Movie (filam)
- 1980 – ABBA – In Concert (filam)
- 1992 – ABBA Gold (video)
- 1993 – More ABBA Gold (video)
- 2004 – ABBA – The Definitive Collection (video), ABBA – The Last Video Ever (filam)
- 2008 – Mamma Mia! (filam)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- ABBA - The Site - Official site. This site is owned and maintained by Universal Music AB in Sweden.
- ABBA For The Record Archived 15 Aprili 2012 at the Wayback Machine. - Discography.
- ABBA katika Discogs
- ABBA katika Last.fm
- ABBA Archived 29 Januari 2009 at the Wayback Machine. at RollingStone.com
- ABBA's Take A Chance On Me - On NBC's The Office Archived 15 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.