Nenda kwa yaliyomo

90125

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
90125
Studio album ya Yes
Imetolewa 14 Novemba 1983
Imerekodiwa Januari-Agosti 1983
Aina Albamu ya Rock
Urefu 44:49
Lebo Atco
Mtayarishaji Trevor Horn
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Yes
Classic Yes
(1981)
90125
(1983)
9012Live: The Solos
(1985)


90125 ni albamu ya kumi na moja ya bendi ya muziki wa rock-Yes kutoka nchini Uingereza. Albamu iltolewa mnamo mwaka wa 1983. Albamu ilishirikisha wimbo maarufu uitwao Owner of a Lonely Heart.

Nyimbo zilizopo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Owner of a Lonely Heart" (Trevor Rabin/Jon Anderson/Chris Squire/Trevor Horn) – 4:29
  2. "Hold On" (Trevor Rabin/Jon Anderson/Chris Squire) – 5:16
  3. "It Can Happen" (Chris Squire/Jon Anderson/Trevor Rabin) – 5:29
  4. "Changes" (Trevor Rabin/Jon Anderson/Alan White) – 6:20
  5. "Cinema" (Chris Squire/Trevor Rabin/Alan White/Tony Kaye) – 2:08
  6. "Leave It" (Chris Squire/Trevor Rabin/Trevor Horn) – 4:14
  7. "Our Song" (Jon Anderson/Chris Squire/Trevor Rabin/Alan White/Tony Kaye) – 4:18
  8. "City of Love" (Trevor Rabin/Jon Anderson) – 4:51
  9. "Hearts" (Jon Anderson/Chris Squire/Trevor Rabin/Alan White/Tony Kaye) – 7:39

Nyimbo za ziada (toleo za 2004)

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Leave It (Single Remix)" (Chris Squire/Trevor Rabin/Trevor Horn) – 3:56
  2. "Make It Easy" (Trevor Rabin) – 6:12
  3. "It Can Happen (Cinema Version)" (Chris Squire/Jon Anderson/Trevor Rabin) – 6:05
  4. "It's Over" (Trevor Rabin) – 5:41
  5. "Owner of a Lonely Heart (Extended Remix)" (Trevor Rabin/Jon Anderson/Chris Squire/Trevor Horn) – 7:05
  6. "Leave It (A Capella Version)" (Chris Squire/Trevor Rabin/Trevor Horn) – 3:18

Wahusika

[hariri | hariri chanzo]