1938
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| ►
◄◄ |
◄ |
1934 |
1935 |
1936 |
1937 |
1938
| 1939
| 1940
| 1941
| 1942
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1938 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 9 Novemba - Usiku wa Chembechembe (kwa Kijerumani: Reichskristallnacht), ambapo WaNazi wanatumia nguvu na vurugu dhidi ya Wayahudi.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 5 Januari - Ngugi wa Thiongo, mwandishi Mkenya
- 25 Januari - Vladimir Vysotsky, msanii kutoka Urusi
- 28 Januari - Tomas Lindahl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2015
- 1 Februari - Sherman Hemsley, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 7 Machi - David Baltimore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975
- 18 Machi - Charley Frank Pride, mwanamuziki kutoka Marekani
- 8 Aprili - Kofi Annan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa hadi 2006
- 15 Aprili - Claudia Cardinale, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 9 Mei - Charles Simic, mshairi kutoka Marekani
- 29 Julai - Enzo G. Castellari, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 2 Septemba - Giuliano Gemma, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 3 Septemba - Ryoji Noyori, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 4 Oktoba - Kurt Wüthrich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 15 Oktoba - Fela Kuti, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 12 Novemba - Benjamin Mkapa, Rais wa tatu wa Tanzania
bila tarehe
- Edward Sokoine, mwanasiasa kutoka Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 13 Juni - Charles Édouard Guillaume, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1920
- 10 Novemba - Kemal Atatürk, Rais wa kwanza wa Uturuki
- 11 Desemba - Christian Lous Lange, mwanasiasa Mnorwei na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921
- 27 Desemba - Zona Gale, mwandishi wa kike wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1921
Wikimedia Commons ina media kuhusu: