1961
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| ►
◄◄ |
◄ |
1957 |
1958 |
1959 |
1960 |
1961
| 1962
| 1963
| 1964
| 1965
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1961 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 12 Aprili - Yuri Gagarin, rubani Mrusi, anafika katika anga-nje na kuzunguka dunia yote.
- 27 Aprili - Nchi ya Sierra Leone inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 9 Desemba - Nchi ya Tanganyika inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 26 Januari - Wayne Gretzky, mchezaji wa Kanada
- 30 Januari - Liu Gang, mwanasayansi Mmarekani kutoka Uchina
- 12 Februari - Lucas Sang, mwanariadha wa Kenya
- 29 Machi - Amy Sedaris, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 3 Aprili - Eddie Murphy, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 3 Aprili - Mwinchoum Abdulrahman Msomi, mwanasiasa wa Tanzania
- 15 Aprili - Carol Greider, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2009
- 17 Aprili - Carlo Rota, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 16 Mei - Kevin McDonald, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 25 Mei - Abdulkarim Esmail Hassan Shah, mbunge wa Tanzania
- 30 Julai - Laurence Fishburne, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- Agosti - Rostam Abdulrasul Aziz, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 3 Agosti - Barnabas Kinyor, mwanariadha kutoka Kenya
- 4 Agosti - Barack Obama, Rais wa Marekani (tangu 2009)
- 16 Agosti - Elpidia Carrillo, mwigizaji filamu kutoka Mexiko
- 18 Septemba - James Gandolfini, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 24 Septemba - Fiona Corke, mwigizaji filamu kutoka Australia
- 29 Septemba - Julia Gillard, Waziri Mkuu wa Australia (2010-2013)
- 4 Oktoba - Salim Abdalla Khalfan, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 26 Oktoba - Uhuru Kenyatta, mwanasiasa kutoka Kenya
bila tarehe
- Lorna Laboso, mwanasiasa wa Kenya
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 4 Januari - Erwin Schrodinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1933
- 9 Januari - Emily Balch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946
- 17 Januari - Patrice Lumumba, Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 6 Aprili - Jules Bordet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1919
- 6 Juni - Carl Gustav Jung, mwanasaikolojia kutoka Uswisi
- 2 Julai - Ernest Hemingway, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1954
- 10 Agosti - Julia Peterkin, mwandishi kutoka Marekani
- 20 Agosti - Percy Bridgman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1946
- 6 Desemba - Frantz Fanon, mwandishi wa Kifaransa kutoka Martinique
- 24 Desemba - Robert Hillyer, mshairi kutoka Marekani
- 25 Desemba - Otto Loewi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1936
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: