Wq/sw/Thiago Alcantara
Appearance
Thiago Alcantara ni mcheza soka wa Liverpool na ni raia wa Hispania.
Nukuu
[edit | edit source]- Kandanda ni mashindano ya kuona nani bora. Sio vita. Ikiisha, bado tuko hai.
- Ninapenda kutazama mpira wa ligi kuu ya Uingereza. Ni ligi ninayoifurahia zaidi
- Sijutii kuhamia Bayern. Ni wakati mzuri sana kwangu, pia kwa sababu wachezaji wenzangu wananiamini.